Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Mit 30:18-19

Mit 30:18-19 SUV

Kuna mambo matatu yaliyo ya ajabu kwangu, Naam, kuna manne nisiyoyafahamu. Mwendo wa tai katika hewa; Na mwendo wa nyoka juu ya mwamba; Mwendo wa merikebu katikati ya bahari; Na mwendo wa mtu pamoja na msichana.

Soma Mit 30