Mit 25:26-28
Mit 25:26-28 SUV
Mwenye haki amwangukiapo mtu mbaya Ni kama chemchemi iliyochafuka, Na kisima kilichokanyagwa. Haifai kula asali nyingi mno; Vile vile mtu kutafuta utukufu wake mwenyewe si utukufu. Asiyetawala roho yake Ni mfano wa mji uliobomolewa, usio na kuta.