Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Mit 25:11-15

Mit 25:11-15 SUV

Neno linenwalo wakati wa kufaa, Ni kama machungwa katika vyano vya fedha. Kipuli cha dhahabu, na pambo la dhahabu safi; Ndivyo alivyo mwonyaji mwenye hekima kwa sikio lisikialo. Kama baridi ya theluji wakati wa mavuno; Ndivyo alivyo mjumbe mwaminifu kwao wamtumao; Kwa maana huwaburudisha bwana zake nafsi zao. Kama mawingu na upepo pasipo mvua; Ndivyo alivyo yeye ajisifiaye karama kwa uongo. Kwa uvumilivu mwingi mkuu husadikishwa; Na ulimi laini huvunja mfupa.

Soma Mit 25