Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Mit 19:20-21

Mit 19:20-21 SUV

Sikiliza mashauri, ukapokee mafundisho, Upate kuwa na hekima siku zako za mwisho. Mna hila nyingi moyoni mwa mtu; Lakini shauri la BWANA ndilo litakalosimama.

Soma Mit 19