Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Mit 18:21-22

Mit 18:21-22 SUV

Mauti na uzima huwa katika uwezo wa ulimi; Na wao waupendao watakula matunda yake. Apataye mke apata kitu chema; Naye ajipatia kibali kwa BWANA.

Soma Mit 18