Mit 15:22-23
Mit 15:22-23 SUV
Pasipo mashauri makusudi hubatilika; Bali kwa wingi wa washauri huthibithika. Mtu hulifurahia jibu la kinywa chake; Na neno linenwalo wakati wa kufaa ni jema kama nini!