Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Mit 15:15-16

Mit 15:15-16 SUV

Siku zote za mtu ateswaye ni mbaya; Bali ukunjufu wa moyo ni karamu ya daima. Kuwa na mali chache pamoja na kumcha BWANA; Ni bora kuliko mali nyingi pamoja na taabu.

Soma Mit 15