Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Neh 11:1-2

Neh 11:1-2 SUV

Basi, wakuu wa watu walikuwa wakikaa Yerusalemu; nao watu waliosalia wakapiga kura, ili katika watu kumi kumleta mmoja akae ndani ya Yerusalemu mji mtakatifu, na wale kenda wakae mijini. Na hao watu wakawabariki wote waliojitoa kwa hiari wakae Yerusalemu.

Soma Neh 11