Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Mk 9:14-16

Mk 9:14-16 SUV

Hata walipowafikia wanafunzi, waliona mkutano mkuu wakiwazunguka, na waandishi wakijadiliana nao; mara mkutano wote walipomwona walishangaa, wakamwendea mbio, wakamsalimu. Akawauliza, Mnajadiliana nini nao?

Soma Mk 9