Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Mk 8:14-15

Mk 8:14-15 SUV

Wakasahau kuchukua mikate, wala chomboni hawana ila mkate mmoja tu. Akawaagiza, akasema, Angalieni, jihadharini na chachu ya Mafarisayo na chachu ya Herode.

Soma Mk 8