Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Mk 4:31-32

Mk 4:31-32 SUV

Ni kama punje ya haradali, ambayo ipandwapo katika nchi, ingawa ni ndogo kuliko mbegu zote zilizo katika nchi, lakini ikiisha kupandwa hukua, ikawa kubwa kuliko miti yote ya mboga, ikafanya matawi makubwa; hata ndege wa angani waweza kukaa chini ya uvuli wake.

Soma Mk 4

Video zinazohusiana