Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Mk 14:10-11

Mk 14:10-11 SUV

Yuda Iskariote, yule mmoja katika wale Thenashara, akaenda zake kwa wakuu wa makuhani, apate kumsaliti kwao. Nao waliposikia walifurahi, wakaahidi kumpa fedha. Akatafuta njia ya kumsaliti wakati wa kufaa.

Soma Mk 14