Mk 13:28-31
Mk 13:28-31 SUV
Kwa mtini jifunzeni mfano; tawi lake liishapo kuwa laini, na kuchanua majani, mwatambua ya kuwa wakati wa mavuno ni karibu; nanyi kadhalika, myaonapo mambo hayo yanaanza, tambueni ya kuwa yu karibu milangoni. Amin, nawaambieni, Kizazi hiki hakitapita, hata hayo yote yatimie. Mbingu na nchi zitapita; lakini maneno yangu hayatapita kamwe.