Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Mk 11:27-28

Mk 11:27-28 SUV

Wakafika Yerusalemu tena; hata alipokuwa akitembea hekaluni, walimwendea wakuu wa makuhani, na waandishi, na wazee, wakamwambia, Ni kwa mamlaka gani unatenda mambo haya? Naye ni nani aliyekupa mamlaka hii uyatende haya?

Soma Mk 11