Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Mk 10:51-52

Mk 10:51-52 SUV

Yesu akamjibu, akamwambia, Wataka nikufanyie nini? Yule kipofu akamwambia, Mwalimu wangu, nataka nipate kuona. Yesu akamwambia, Enenda zako, imani yako imekuponya. Mara akapata kuona; akamfuata njiani.

Soma Mk 10

Video zinazohusiana