Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Mk 10:10-12

Mk 10:10-12 SUV

Hata nyumbani tena wanafunzi wakamwuliza habari ya neno hilo. Akawaambia, Kila mtu atakayemwacha mkewe na kuoa mwingine azini juu yake; na mke, akimwacha mumewe na kuolewa na mtu mwingine, azini.

Soma Mk 10

Video zinazohusiana