Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Mk 1:4-5

Mk 1:4-5 SUV

Yohana alitokea, akibatiza nyikani, na kuuhubiri ubatizo wa toba liletalo ondoleo la dhambi. Wakamwendea nchi yote ya Uyahudi, nao wa Yerusalemu wote, wakabatizwa katika mto wa Yordani, wakiziungama dhambi zao.

Soma Mk 1

Video zinazohusiana