Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Mt 27:52-54

Mt 27:52-54 SUV

makaburi yakafunuka; ikainuka miili mingi ya watakatifu waliolala; nao wakiisha kutoka makaburini mwao, baada ya kufufuka kwake, wakauingia mji mtakatifu, wakawatokea wengi. Basi yule akida, na hao waliokuwa pamoja naye wakimlinda Yesu, walipoliona tetemeko la nchi na mambo yaliyofanyika, wakaogopa sana, wakisema, Hakika huyu alikuwa Mwana wa Mungu.

Soma Mt 27

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Mt 27:52-54