Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Mt 20:25-26

Mt 20:25-26 SUV

Lakini Yesu akawaita, akasema, Mwajua ya kuwa wakuu wa Mataifa huwatawala kwa nguvu, na wakubwa wao huwatumikisha. Lakini haitakuwa hivyo kwenu; bali mtu ye yote anayetaka kuwa mkubwa kwenu, na awe mtumishi wenu

Soma Mt 20

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Mt 20:25-26

YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha