Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Mt 18:21-22

Mt 18:21-22 SUV

Kisha Petro akamwendea akamwambia, Bwana, ndugu yangu anikose mara ngapi nami nimsamehe? Hata mara saba? Yesu akamwambia, Sikuambii hata mara saba, bali hata saba mara sabini.

Soma Mt 18