Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Mt 14:13-14

Mt 14:13-14 SUV

Naye Yesu aliposikia; hayo, aliondoka huko katika chombo, akaenda mahali pasipo watu, faraghani. Na makutano waliposikia, walimfuata kwa miguu kutoka mijini mwao. Yesu akatoka, akaona mkutano mkuu, akawahurumia, akawaponya wagonjwa wao.

Soma Mt 14

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Mt 14:13-14

YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha