Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Lk 6:20-21

Lk 6:20-21 SUV

Akainua macho yake akawatazama wanafunzi wake, akasema, Heri ninyi mlio maskini, kwa sababu ufalme wa Mungu ni wenu. Heri ninyi mlio na njaa sasa, kwa sababu mtashiba. Heri ninyi mliao sasa, kwa sababu mtacheka.

Soma Lk 6