Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Lk 24:50-52

Lk 24:50-52 SUV

Akawaongoza mpaka Bethania, akainua mikono yake akawabariki. Ikawa katika kuwabariki, alijitenga nao; akachukuliwa juu mbinguni. Wakamwabudu; kisha wakarudi Yerusalemu wenye furaha kuu.

Soma Lk 24

Picha ya aya ya Lk 24:50-52

Lk 24:50-52 - Akawaongoza mpaka Bethania, akainua mikono yake akawabariki. Ikawa katika kuwabariki, alijitenga nao; akachukuliwa juu mbinguni. Wakamwabudu; kisha wakarudi Yerusalemu wenye furaha kuu.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Lk 24:50-52