Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Lk 24:46-49

Lk 24:46-49 SUV

Akawaambia, Ndivyo ilivyoandikwa, kwamba Kristo atateswa na kufufuka siku ya tatu; na kwamba mataifa yote watahubiriwa kwa jina lake habari ya toba na ondoleo la dhambi, kuanza tangu Yerusalemu. Nanyi ndinyi mashahidi wa mambo haya. Na tazama, nawaletea juu yenu ahadi ya Baba yangu; lakini kaeni humu mjini, hata mvikwe uwezo utokao juu.

Soma Lk 24

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Lk 24:46-49