Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Lk 24:14-16

Lk 24:14-16 SUV

Nao walikuwa wakizungumza wao kwa wao habari za mambo hayo yote yaliyotukia. Ikawa katika kuzungumza na kuulizana kwao, Yesu mwenyewe alikaribia, akaandamana nao. Macho yao yakafumbwa wasimtambue.

Soma Lk 24