Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Lk 23:44-46

Lk 23:44-46 SUV

Hapo ilikuwa yapata saa sita, kukawa giza juu ya nchi yote hata saa kenda, jua limepungua nuru yake; pazia la hekalu likapasuka katikati. Yesu akalia kwa sauti kuu, akasema, Ee Baba, mikononi mwako naiweka roho yangu.

Soma Lk 23

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Lk 23:44-46