Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Lk 23:40-43

Lk 23:40-43 SUV

Lakini yule wa pili akamjibu akamkemea, akisema, Wewe humwogopi hata Mungu, nawe u katika hukumu iyo hiyo? Nayo ni haki kwetu sisi, kwa kuwa tunapokea malipo tuliyostahili kwa matendo yetu; bali huyu hakutenda lo lote lisilofaa. Kisha akasema, Ee Yesu, nikumbuke utakapoingia katika ufalme wako. Yesu akamwambia, Amin, nakuambia, leo hivi utakuwa pamoja nami peponi.

Soma Lk 23

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Lk 23:40-43