Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Lk 22:47-48

Lk 22:47-48 SUV

Basi alipokuwa katika kusema, tazama, mkutano wa watu, na yule aitwaye Yuda, ambaye ni mmoja wa wale Thenashara, amewatangulia. Akamkaribia Yesu ili kumbusu. Yesu akamwambia, Yuda, wamsaliti Mwana wa Adamu kwa kumbusu?

Soma Lk 22