Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Lk 21:27-28

Lk 21:27-28 SUV

Hapo ndipo watakapomwona Mwana wa Adamu akija katika wingu pamoja na nguvu na utukufu mwingi. Basi mambo hayo yaanzapo kutokea, changamkeni, mkaviinue vichwa vyenu, kwa kuwa ukombozi wenu umekaribia.

Soma Lk 21