Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Lk 12:33-34

Lk 12:33-34 SUV

Viuzeni mlivyo navyo, mtoe sadaka. Jifanyieni mifuko isiyochakaa, akiba isiyopungua katika mbingu, mahali pasipokaribia mwivi, wala nondo haharibu. Kwa kuwa hazina yenu ilipo, ndipo itakapokuwapo na mioyo yenu.

Soma Lk 12