Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Lk 12:22-23

Lk 12:22-23 SUV

Akawaambia wanafunzi wake, Kwa sababu hiyo nawaambia, Msisumbukie maisha yenu, mtakula nini; wala miili yenu, mtavaa nini. Kwa kuwa maisha ni zaidi ya chakula, na mwili ni zaidi ya mavazi.

Soma Lk 12