Law 6:12-13
Law 6:12-13 SUV
Na huo moto ulio madhabahuni atautunza uwake daima juu yake, usizimike; naye kuhani atateketeza kuni katika moto huo kila siku asubuhi; naye ataipanga sadaka ya kuteketezwa juu yake, naye atayateketeza mafuta ya sadaka za amani juu yake. Moto utatunzwa uwake juu ya madhabahu daima; usizimike.