Law 25:17-19
Law 25:17-19 SUV
Wala msidanganyane; lakini utamcha Mungu wako; kwa kuwa mimi ndimi BWANA, Mungu wenu. Kwa sababu hii zitendeni amri zangu, mkazishike hukumu zangu, na kuzifanya; nanyi mtakaa katika hiyo nchi salama. Nayo nchi itazaa matunda yake, nanyi mtakula na kushiba, na kuketi humo salama.