Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Ayu 34:21-22

Ayu 34:21-22 SUV

Kwani macho yake ya juu ya njia za mtu, Naye huiona miendo yake yote. Hapana weusi, wala hilo giza tupu, Wawezapo kujificha watendao udhalimu.

Soma Ayu 34