Ayu 16:19-21
Ayu 16:19-21 SUV
Hata sasa, tazama, shahidi wangu yuko mbinguni. Na huyo atakayenidhamini yuko juu. Rafiki zangu hunidharau; Lakini jicho langu humwagia Mungu machozi; Laiti angemtolea mtu hoja mbele ya Mungu, Amtetee na mwanadamu mbele ya jirani yake.