Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Yn 6:44-45

Yn 6:44-45 SUV

Hakuna mtu awezaye kuja kwangu, asipovutwa na Baba aliyenipeleka; nami nitamfufua siku ya mwisho. Imeandikwa katika manabii, Na wote watakuwa wamefundishwa na Mungu. Basi kila aliyesikia na kujifunza kwa Baba huja kwangu.

Soma Yn 6