Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Yn 2:1-3

Yn 2:1-3 SUV

Na siku ya tatu palikuwa na arusi huko Kana, mji wa Galilaya; naye mama yake Yesu alikuwapo. Yesu naye alikuwa amealikwa arusini pamoja na wanafunzi wake. Hata divai ilipowatindikia, mamaye Yesu akamwambia, Hawana divai.

Soma Yn 2