Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Yn 18:4-5

Yn 18:4-5 SUV

Basi Yesu, hali akijua yote yatakayompata, akatokea, akawaambia, Ni nani mnayemtafuta? Wao wakamjibu, Ni Yesu Mnazareti. Yesu akawaambia, Ni mimi. Yuda naye aliyemsaliti alikuwa amesimama pamoja nao.

Soma Yn 18