Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Yn 17:17-19

Yn 17:17-19 SUV

Uwatakase kwa ile kweli; neno lako ndiyo kweli. Kama vile ulivyonituma mimi ulimwenguni, nami vivyo hivyo naliwatuma hao ulimwenguni. Na kwa ajili yao najiweka wakfu mwenyewe, ili na hao watakaswe katika kweli.

Soma Yn 17