Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Yn 16:29-30

Yn 16:29-30 SUV

Basi wanafunzi wake wakasema, Tazama, sasa wasema waziwazi, wala huneni mithali yo yote. Sasa tumejua ya kuwa wewe wafahamu mambo yote, wala huna haja ya mtu akuulize; kwa hiyo twasadiki ya kwamba ulitoka kwa Mungu.

Soma Yn 16