Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Yn 16:23-24

Yn 16:23-24 SUV

Tena siku ile hamtaniuliza neno lo lote. Amin, amin, nawaambia, Mkimwomba Baba neno lo lote atawapa kwa jina langu. Hata sasa hamkuomba neno kwa jina langu; ombeni, nanyi mtapata; furaha yenu iwe timilifu.

Soma Yn 16

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Yn 16:23-24

YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha