Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Yn 12:23-24

Yn 12:23-24 SUV

Naye Yesu akawajibu, akasema, Saa imefika atukuzwe Mwana wa Adamu. Amin, amin, nawaambia, Chembe ya ngano isipoanguka katika nchi, ikafa, hukaa hali iyo hiyo peke yake; bali ikifa, hutoa mazao mengi.

Soma Yn 12