Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Yn 11:33-35

Yn 11:33-35 SUV

Basi Yesu alipomwona analia, na wale Wayahudi waliofuatana naye wanalia, aliugua rohoni, akafadhaika roho yake, akasema, Mmemweka wapi? Wakamwambia, Bwana, njoo utazame. Yesu akalia machozi.

Soma Yn 11