Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Yn 11:21-23

Yn 11:21-23 SUV

Basi Martha akamwambia Yesu, Bwana, kama ungalikuwapo hapa, ndugu yangu hangalikufa. Lakini hata sasa najua ya kuwa yo yote utakayomwomba Mungu, Mungu atakupa. Yesu akamwambia, Ndugu yako atafufuka.

Soma Yn 11