Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Yer 51:38-39

Yer 51:38-39 SUV

Watanguruma pamoja kama wana-simba; watanguruma kama simba wachanga. Wakiingiwa na ukali, nitawafanyizia karamu yao, nami nitawalevya, wapate kufurahi, na kulala usingizi wa milele, wasiamke tena, asema BWANA.

Soma Yer 51