Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Yer 5:1-2

Yer 5:1-2 SUV

Pigeni mbio huku na huku katika njia za Yerusalemu, mkaone sasa, na kujua, na kutafuta katika viwanja vyake, kwamba mwaweza kumpata mtu mmoja, kwamba yuko mtu mmoja awaye yote atendaye kwa haki, atafutaye uaminifu; nami nitausamehe mji huo. Na wajaposema, Kama BWANA aishivyo, hakika waapa kwa uongo.

Soma Yer 5

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Yer 5:1-2

YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha