Yer 35:12-13
Yer 35:12-13 SUV
Ndipo neno la BWANA likamjia Yeremia, kusema, BWANA wa majeshi, Mungu wa Israeli, asema hivi, Enenda ukawaambie wana wa Yuda, na wenyeji wa Yerusalemu, Je! Hamtaki kupokea mafundisho, myasikilize maneno yangu? Asema BWANA.