Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Yer 32:38-41

Yer 32:38-41 SUV

nao watakuwa watu wangu, nami nitakuwa Mungu wao; nami nitawapa moyo mmoja na njia moja, wapate kunicha sikuzote; kwa mema yao, na ya watoto wao baada yao; nami nitafanya agano la milele pamoja nao, kwamba sitageuka wala kuwaacha, ili niwatendee mema; nami nitatia kicho changu mioyoni mwao, ili wasiniache. Naam, nitafurahi juu yao niwatendee mema, nami nitawapanda katika nchi hii kweli kweli, kwa moyo wangu wote, na kwa roho yangu yote.

Soma Yer 32