Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Yer 32:25-27

Yer 32:25-27 SUV

Nawe, Ee Bwana MUNGU, umeniambia, Jinunulie shamba lile kwa fedha, ukawaite mashahidi; iwapo mji huu umetiwa katika mikono ya Wakaldayo; je! Itakuwaje? Ndipo neno la BWANA likamjia Yeremia, kusema, Tazama, mimi ni BWANA, Mungu wa wote wenye mwili; je! Kuna neno gumu lo lote nisiloliweza?

Soma Yer 32