Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Yer 31:35

Yer 31:35 SUV

BWANA asema hivi, awapaye watu jua, ili kuwa nuru wakati wa mchana, na amri za mwezi na nyota, ili kuwa nuru wakati wa usiku, aichafuaye bahari, hata mawimbi yake yakavuma; BWANA wa majeshi, ndilo jina lake

Soma Yer 31